超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024 Yafunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024
Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024 Yafunguliwa
Watembeleaji wakitembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024, Septemba 29. (Xinhua/Chen Zhenhai)

Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024 yamefunguliwa siku ya Jumapili, Septemba 29, katika Mji wa Liling, mkoani Hunan, Kusini mwa China. Maonyesho hayo yataendelea hadi Oktoba 3, yakiwa na jumla ya kumbi 5 za maonyesho na kampuni 320 zinazoshiriki.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha