超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Habari Picha: Watu wakitengeneza unga wa muhogo mjini Abidjan, Cote d'Ivoire

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Habari Picha: Watu wakitengeneza unga wa muhogo mjini Abidjan, Cote d'Ivoire
Mwanamke akikausha unga wa muhogo juani mjini Abidjan, Cote d'Ivoire, Desemba 27, 2023. (Picha na Yvan Sonh/Xinhua)

Muhogo ni chakula kikuu muhimu barani Afrika. Ugali wa Attieke, unaopikwa kwa unga uliochachushwa unaotokana na muhogo, una asili ya makabila ya warasi kusini mwa Cote d'Ivoire, na umekuwa mlo muhimu kwa wenyeji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha