超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

人民網(wǎng)首頁Mwanzo

Habari

Picha iliyopigwa Mei 26 ikionyesha mazingira ya usiku ya Soko la Ubunifu la Jingdezhen Taoxichuan katika Mkoa wa Jiangxi, China.  (Picha na Shi Yu/People's Daily Online)

Soko la Ubunifu la Mji wa Jingdezhen katika Mkoa wa Jiangxi, China lawa maarufu

Jioni ya Mei 26, Soko la Sanaa za Ubunifu katika Mtaa wa Utamaduni na Ubunifu wa Taoxichuan mjini Jingdezhen, Mkoa wa Jiangxi wa China, lilikuwa limejaa watu. Vibanda vya bidhaa zaidi ya 400 vilikuwa vimepangwa kwa mstari mrefu, na vyombo vya kauri vinavyoonesha ubunifu wa aina mbalimbali vilivutia watalii kusimama na kuchagua.

Picha iliyopigwa tarehe 24, Mei kutoka juu ikionesha soko la usiku la Wulin lenye shamrashamra mjini Hangzhou wakati taa zilipowashwa. (Picha na Zhang Yongtao/People’s Daily Online)

Mtaa wa urefu wa Kilomita 1 waonesha “Uchumi wa Usiku” wa Hangzhou, China

Mapema katika msimu wa joto, wakati anga linaanza kuwa giza, kando ya Barabara ya Wulin mjini Hangzhou, China, safu kadhaa za mabanda ya maduka huwekwa kwenye mtaa huo wenye urefu usiofikia kilomita 1, na wafanyabiashara wenye mabanda hayo hukaribisha wateja kwa shauku na ukarimu chini ya mianga mizuri ya taa, na “maisha mazuri ya usiku” ya Hangzhou yanaanza hapa. Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya mji huo imetilia maanani sana maendeleo ya uchumi wa usiku na umezalisha kwa mafanikio mfululizo wa chapa za uchumi wa usiku kupitia uungaji mkono wa sera na uboreshaji wa mazingira ya biashara.

Picha ikionyesha cheche zikiruka na mkono wa roboti ukiwa kazini. (Picha na Mwandishi wa Habari wa People’s Daily Online, Liu Yi)

‘Wahusika wa Filamu ya Transformers’ wabadilisha taaluma mjini Chongqing, China na kuunda magari!

Timu ya utafiti na mahojiano ya Gazeti la People’s Daily Online ya "Songa China" ya Chongqing imeingia katika kiwanda cha magari cha Chang’an cha Liangjiang, China, Mei 20. Katika kiwanda hicho, michakato muhimu inafanyika kiotomatiki kwa asilimia 100, na bidhaa zake zinauzwa sehemu mbalimbali duniani.

Katika kivutio cha Soko la Enzi ya Tang la uwazi wa usiku kucha, watu wanaovaa mavazi ya kijadi ya Enzi za Han na Tang ya China wakipiga picha. (Weng Qiyu/People’s Daily Online)

Hali ya Maisha mjini Xi’an ni nzuri iliyoje

Wakati wa jioni, ukitembelea kwenye Soko la Enzi ya Tang la uwazi wa usiku kucha, unaweza kuona watu wengi wanaovaa mavazi ya kijadi ya China wakipiga picha karibu na ukuta mwekundu. “Nahisi kama nimepita katika wakati wa enzi ya zamani! Nataka kurekodi urembo wangu kwenye hali nzuri ya jioni ya “Mji wa Chang’an (uliokuwa Mji Mkuu wa China katika Enzi ya Tang) ”.

Iliyopita1 2 3 4 5 Inayofuata